OdessaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Odessa [1] (kwa Kiukraine: Оде́са) ni jiji na bandari muhimu kusini magharibi mwa Ukraine. Ni makao makuu ya Mkoa wa Odessa. Jiji hilo liko kwenye mwambao wa Bahari Nyeusi. Majengo ya Odessa. Ramani ya Odessa katika Ukraine. Idadi ya wakazi ilihesabiwa kuwa 1,016,000 mwaka 2021[2].
Odessa [1] (kwa Kiukraine: Оде́са) ni jiji na bandari muhimu kusini magharibi mwa Ukraine. Ni makao makuu ya Mkoa wa Odessa. Jiji hilo liko kwenye mwambao wa Bahari Nyeusi. Majengo ya Odessa. Ramani ya Odessa katika Ukraine. Idadi ya wakazi ilihesabiwa kuwa 1,016,000 mwaka 2021[2].