Nzi mbuai au nzi wawindaji ni nzi wadogo hadi wakubwa wa familia Asilidae katika oda Diptera wanaowinda wadudu wengine. Kwa kawaida wana nywele nyingi kama manyoya na mdomo mkali unaotumika kwa kudunga mbuawa. Miguu ina nywele ndefu na ngumu sana ambayo inawasaidia kukamata wadudu. Nzi hawa ni mbuai wakali sana.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Nzi mbuai |
Alcimus sp. aliyekamata panzi wa jenasi Acrida nchini Afrika Kusini |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
|
Nusufaila: |
Hexapoda (Wanyama wenye miguu sita)
|
Ngeli: |
Insecta (Wadudu)
|
Ngeli ya chini: |
Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
|
Oda: |
Diptera (Wadudu wenye mabawa mawili tu)
|
Nusuoda: |
Brachycera (Nzi wenye vipapasio vifupi)
|
Familia ya juu: |
Asiloidea
|
Familia: |
Asilidae Latreille, 1802 |
|
Ngazi za chini |
Nusufamilia 14:
- Asilinae Latreille, 1802
- Bathypogoninae Artigas & Papavero, 1991
- Brachyrhopalinae Hardy, 1926
- Dasypogoninae Macquart, 1838
- Dioctriinae Enderlein, 1936
- Laphriinae Macquart, 1838
- Leptogastrinae Schiner, 1862
- Ommatiinae Hardy, 1927
- Phellinae Hardy, 1926
- Stenopogoninae Hull, 1962
- Stichopogoninae Hardy, 1930
- Tillobromatinae Artigas & Papavero, 1991
- Trigonomiminae Enderlein, 1914
- Willistonininae Artigas & Papavero, 1991
|
Funga