Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Nyati-maji |
Nyati-maji wa kike na ndama (Bubalus bubalis) |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Oda: |
Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
|
Nusuoda: |
Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
|
Familia: |
Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe) J. E. Gray, 1821 |
Nusufamilia: |
Bovinae (Wanyama wanaofanana na ng'ombe)
|
Jenasi: |
Bubalus (Wanyama kama nyati-maji) C. H. Smith, 1827 |
Spishi: |
B. Bubalis (Nyati-maji) (Linnaeus, 1758) |
|
Ngazi za chini |
Nususpishi 5:
- B. b. bubalis (Linnaeus, 1758)
- B. b. fulvus (Blanford, 1891)
- B. b. kerabau Fitzinger, 1860
- B. b. migona Deraniyagala, 1952
- B. b. theerapati Groves, 1996
|
Funga
Nyati-maji ni mnyama mkubwa anayejulikana sana, aliye wa spishi Bubalus bubalis katika nusufamilia Bovinae. Spishi hii ina nususpishi tano ndani yake:
- B. b. bubalis (Nyati-maji)
- B. b. fulvus
- B. b. kerabau
- B. b. migona
- B. b. theerapati