From Wikipedia, the free encyclopedia
Nonso Anozie (alizaliwa 17 Novemba 1978) ni muigizaji wa Uingereza aliyefanya kazi ya filamu na televisheni.
Alipata umaarufu kwa filamu zifuatazo RocknRolla, Sergeant Dap in Ender's Game, Abraham Kenyatta in Zoo, Captain of the Guards in Cinderella na Xaro Xhoan Daxos kwenyeHBO televisheni Game of Thrones.
Anozie alizaliwa mjini London, England, lakini asili yake ni Igbo. [1][2][3][4] Alihitimu katika shule ya Central School of Speech and Drama mnamo mwaka 2002, [5] na pia mwaka huo huo alicheza katika filamu iitwayo William Shakespeare's King Lear, na akashinda tuzo ya Ian Charleson Award. Mnamo mwaka 2004alishiriki katika Othello.[6]
Anozie aliajiriwa mnamo mwaka 2006 kwa ajili ya kutoa sauti ya dubu silaha katika filamu ya Iorek Byrnison katika film adaptation of Philip Pullman's Northern Lights.[7] Anozie alibadilishwa akawekwa Ian McKellen kwa miezi miwili kabla ya filamu kutoka. [8] Muongozaji wa filamu, Chris Weitz, aliiambia Empire: "ilikua ni maamuzi ya studio ,ili uelewe kuwa huna haja ya kumlalamikia Ian McKellen kwa kitu chochote. Lakini kubadilishwa kwa Nonso ilikua ni moja ya maumivu ya kazi katika filamu hii. Nataka kusema kua Nonso ni mojawapo wa kijana muigizaji mzuri sana nchini Uingereza, na nimefanya kazi hapa kwa mda sahivi na sasa hivi atakuepo katika filamu ya Mike Leigh [film] Lakini kuondoka kwa Nonso ilikua kama giza kwangu, kwa sababu ninaipenda sana kazi yake. "[9].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.