NjiaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Njia ni sehemu au eneo wazi jembamba ambalo hutumiwa na watu, wanyama au magari kupita, lakini pia namna au mbinu ya kufanya kazi au kutatua tatizo fulani. Njia ya milimani huko Wilaya ya Shaharah, Yemen. Mithali maarufu ya Kiswahili inasema, "Penye nia pana njia".
Njia ni sehemu au eneo wazi jembamba ambalo hutumiwa na watu, wanyama au magari kupita, lakini pia namna au mbinu ya kufanya kazi au kutatua tatizo fulani. Njia ya milimani huko Wilaya ya Shaharah, Yemen. Mithali maarufu ya Kiswahili inasema, "Penye nia pana njia".