![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/27/Philadelphia76ers_vs_NewYorkKnicks_0030.jpg/640px-Philadelphia76ers_vs_NewYorkKnicks_0030.jpg&w=640&q=50)
New York Knicks
Timu ya Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani katika Jiji la New York / From Wikipedia, the free encyclopedia
New York Knicks ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini New York City. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na R.J Barrett.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/27/Philadelphia76ers_vs_NewYorkKnicks_0030.jpg/640px-Philadelphia76ers_vs_NewYorkKnicks_0030.jpg)