Mtumiaji:Muddyb
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ninaitwa Mohammed. Humu hujiita "Muddyb". Ninaishi Dar es Salaam, Tanzania. Hapa ninasimama kama mkabidhi na mrasimu wa kamusi elezo hii ya Kiswahili. Ukiwa una uswali lolote, basi uliza nami nitakujibu! Mimi ni mpenzi sana wa muziki na filamu. Hivyo basi, makala nyingi ninazoandika zinahusu masuala ya muziki na filamu!
![]() | Mtumiaji huyu ana kazi nyingi katika maisha ya kweli na hawezi kujibu maswali yako kwa uharaka zaidi. |
Status: Busy
Muddyb | |
---|---|
Muddyb Blast nikiwa kwenye pozi! | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Mohammed O. Lupinga |
Pia anajulikana kama | Muddyb Blast Mnyamwanga Mwanaharakati |
Amezaliwa | 25 Aprili 1983 (1983-04-25) (umri 41) |
Asili yake | Kiwalani, Dar es Salaam Tanzania |
Aina ya muziki | Hip hop Bongo Flava |
Kazi yake | Mtayarishaji wa rekodi Mwanaharakati MwanaWikipedia |
Ala | DAW (digital audio workstation - FL Studio) |
Miaka ya kazi | 2004 - hadi leo |
Studio | Mitaa ya Kati Records |
Tovuti | Maskani ya Blogu Yangu! |
Nukuu kali kutoka katika wimbo:
Been spending most their lives, living in the gangsta's paradise Been spending most their lives, living in the gangsta's paradise Keep spending most our lives, living in the gangsta's paradise Keep spending most our lives, living in the gangsta's paradise!
āCoolio
Nukuu kali kutoka kwa watu fulani-fulani:
A hypocrite and know-it-all enters people's lives pretending to be a friend, but their actions are aimed at disrupting peace and causing chaos. They wear a smile on their face, but inside they carry a cloud of darkness filled with deceit and treachery.
āUnknown