Mtumiaji:Abubakari SixberthFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mfululizo wa sheria kuhusu ajira ya watoto, kinachojulikana kama Sheria za Kiwanda, zilipitishwa nchini Uingereza katika karne ya 19. Watoto walio na umri wa chini ya miaka 9 hawakuruhusiwa kufanya kazi, wale wenye umri wa miaka 9-16 wangeweza kufanya kazi saa 12 kwa siku kulingana na Sheria ya Kiwanda cha Pamba . Mnamo mwaka 1856, sheria iliruhusu ajira ya watoto zaidi ya umri wa miaka 9, kwa masaa 60 kwa wiki, usiku au mchana. Mnamo mwaka 1901, umri ulioruhusiwa wa kuajiriwa kwa watoto uliongezwa hadi 12.[1][2] Mtoto wa Kichina akitengeneza viatu, mwishoni mwa karne ya 19 Ajira ya watoto nchini Nigeria
Mfululizo wa sheria kuhusu ajira ya watoto, kinachojulikana kama Sheria za Kiwanda, zilipitishwa nchini Uingereza katika karne ya 19. Watoto walio na umri wa chini ya miaka 9 hawakuruhusiwa kufanya kazi, wale wenye umri wa miaka 9-16 wangeweza kufanya kazi saa 12 kwa siku kulingana na Sheria ya Kiwanda cha Pamba . Mnamo mwaka 1856, sheria iliruhusu ajira ya watoto zaidi ya umri wa miaka 9, kwa masaa 60 kwa wiki, usiku au mchana. Mnamo mwaka 1901, umri ulioruhusiwa wa kuajiriwa kwa watoto uliongezwa hadi 12.[1][2] Mtoto wa Kichina akitengeneza viatu, mwishoni mwa karne ya 19 Ajira ya watoto nchini Nigeria