Mto Liao
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Liao ni mto mkuu kusini mwa eneo la Manchuria nchini China. Liao ni moja kati ya mito mikuu saba ya China. Majina ya majimbo ya Liaoning na rasi ya Liaodong yametokana na mto huo[1]. Mto huo pia unajulikana kama "mto mama" huko kaskazini mashariki mwa China. [2]
Ukweli wa haraka
Chanzo | (vyanzo tofauti tofauti) |
Mdomo | Hori ya Bohai |
Nchi | China (majimbo ya Hebei, Mongolia ya Kichina, Jilin, Liaoning) |
Urefu | km 1,345 |
Mkondo | m3 500 |
Eneo la beseni | km2 232,000 |
Funga