Mto IrrawaddyFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mto Irrawaddy (pia Ayeyarwady) ndio mto muhimu zaidi nchini Myanmar. Ni mto mkubwa zaidi ya nchi hii ma pia njia ya maji muhimu zaidi inayotumiwa kwa biashara. Beseni ya Irrawaddy
Mto Irrawaddy (pia Ayeyarwady) ndio mto muhimu zaidi nchini Myanmar. Ni mto mkubwa zaidi ya nchi hii ma pia njia ya maji muhimu zaidi inayotumiwa kwa biashara. Beseni ya Irrawaddy