Mto Humber
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Humber pronounced /ˈhʌmbər/ ni mto mkubwa ulio na mawimbi katika mashariki ya Uingereza Kaskazini.
Asili yake ni Trento Falls, Faxfleet katika mkutano wa Mto Ouse na Mto Trent. Kutoka hapa hadi Bahari ya Kaskazini huwa mpaka kati ya Yorkshire Mashariki katika ufuko wa kaskazini na Lincolnshire Kaskazini na Lincolnshire Kaskazini Mashariki upande wa kusini wa ufuko.[1]