Mto Arkansas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Arkansas ni tawimto mrefu wa mto Mississippi nchini Marekani.
Ukweli wa haraka
Chanzo | Lake County, Colorado karibu Leadville |
Mdomo | Mto Mississippi mjini Napoleon |
Nchi | Marekani |
Urefu | 2,364 km |
Kimo cha chanzo | 3000 m |
Tawimito upande wa kulia | Mto Canadian, Mto Cimarron, Mto Salt Fork Arkansas |
Mkondo | 240 m³/s |
Eneo la beseni | 505,000 km² |
Miji mikubwa kando lake | Pueblo, Wichita, Tulsa, Little Rock |
Funga