Kansas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kansas ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Topeka na mji mkubwa ni Wichita.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Kansas | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Topeka | ||
Eneo | |||
- Jumla | 213,096 km² | ||
- Kavu | 211,900 km² | ||
- Maji | 1,196 km² | ||
Tovuti: http://www.kansas.gov/ |
Funga
Kansas ni hasa jimbo la kilimo cha ngano pamoja na alizeti na mtama.
Jimbo lina wakazi wapatao 6,376,792 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 213,096.