From Wikipedia, the free encyclopedia
Mtakatifu Plasido, O.S.B. (Roma, 515- Messina, 541) alikuwa tangu ujanani mmonaki wa Italia, mfuasi mpendwa wa Benedikto wa Nursia, kama inavyoelezwa na Gregori Mkuu katika kitabu "Majadiliano".
Alitumwa Sicilia kuanzisha monasteri nyingine, na huko inasimuliwa kuwa yeye, ndugu zake watatu na wamonaki 30 walivamiwa na kuuawa na maharamia Wavandali wenye chuki kwa Kanisa Katoliki, lakini habari hiyo haina uthibitisho[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.