From Wikipedia, the free encyclopedia
Mount Rushmore ni mlima mashuhuri nchini Marekani uliopo kwenye safu la milima ya Black Hills katika jimbo la South Dakota.
Mount Rushmore imekuwa mashuhuri kwa sababu pana sanamu za marais manne wa Marekani George Washington, Thomas Jefferson, Theodore Roosevelt na Abraham Lincoln. Kila kichwa kina kimo cha mita 18. Msanii Gutzon Borglum alichonga mawe magumu ya matale kati ya 1927 hadi 1941 kwa msaada wa wafanyakazi 400 akitumia baruti pamoja na mashine za kuchonga.
Maindio wa Lakota ambao ni wenyeji asilia wamesikitishwa na sanamu hizi kwa sababu kwao milima ya Black Hills ni mahali patakatifu.
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mount Rushmore kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.