Mona Zak
Mwigizaji wa Misri From Wikipedia, the free encyclopedia
Mwigizaji wa Misri From Wikipedia, the free encyclopedia
Mona Ali Mohamed Zaki (alizaliwa mnamo Novemba 18, mwaka 1976) Ni mwigizaji wa Misri. Ameolewa na mwigizaji Ahmed Helmy.
Mona Zaki alizaliwa na wazazi wake Ali Mohamed Zaki na Tahani mnamo Novemba 18, 1976. Akiwa na umri wa miaka 13, Zaki aliishi Kuwait. Akiwa na umri wa miaka 16 na baada ya kuona tangazo la Mohamed Sobhi (mwigizaji) | Mohamed Sobhi kwa nyuso mpya, aliomba tu kwa matumaini ya kupata nafasi ya kukutana na mwigizaji maarufu wa Misri na mkurugenzi. Zaki alipewa jukumu lake la kwanza la kuigiza katika mchezo wake Bel Araby El Faseeh'.
Mona aliolewa na muigizaji wa Misri Ahmed Helmy. Wamefanikiwa kupata watoto watatu: Lilly (2003), Selim (2014), and Younis (2016).
Mona Zaki anajiandaa kushiriki katika kampeni mpya ya hisani Jua aina yako ya Damu'.' [Al-Ahram]] gazeti linaripoti kuwa kampeni hiyo ilizinduliwa na Mona Zaki kama balozi wa Yanabee El-Hayah kwa kushirikiana na Yanabee El-Hayah kwa [uchangiaji damu]] na kwa kushirikiana na mkono wa afya ya umma,[Shirika la Afya Duniani].]..[1]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.