Mlima PicoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mlima Pico ni mlima mrefu kuliko yote ya funguvisiwa la Azori, katika bahari ya Atlantiki. Mlima Pico Ni volkeno hai ambayo iko katika kisiwa cha Pico. Ina urefu wa mita 2,351, hivyo inazidi milima yote ya Ureno..
Mlima Pico ni mlima mrefu kuliko yote ya funguvisiwa la Azori, katika bahari ya Atlantiki. Mlima Pico Ni volkeno hai ambayo iko katika kisiwa cha Pico. Ina urefu wa mita 2,351, hivyo inazidi milima yote ya Ureno..