Mlima MusalaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mlima Musala ni mlima mrefu kuliko yote ya Balkani (Ulaya). Uko katika nchi ya Bulgaria, milima ya Rila. Mlima wa Musala, upande wa Kusini Urefu wake ni mita 2,925 juu ya usawa wa bahari.
Mlima Musala ni mlima mrefu kuliko yote ya Balkani (Ulaya). Uko katika nchi ya Bulgaria, milima ya Rila. Mlima wa Musala, upande wa Kusini Urefu wake ni mita 2,925 juu ya usawa wa bahari.