Mlima FogoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mlima Fogo ni mlima mrefu kuliko yote ya Kabo Verde, Ni volkeno hai na iko katika kisiwa cha Fogo. Ina urefu wa mita 2,829.
Mlima Fogo ni mlima mrefu kuliko yote ya Kabo Verde, Ni volkeno hai na iko katika kisiwa cha Fogo. Ina urefu wa mita 2,829.