![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/6a/Sud-Como%25C3%25A9_region_locator_map_C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire.jpg/640px-Sud-Como%25C3%25A9_region_locator_map_C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire.jpg&w=640&q=50)
Mkoa wa Sud-Comoé
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Sud-Comoé (kwa Kifaransa: Région du Sud-Comoé) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
auto
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Mkoa wa Sud-Comoé | |
![]() katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Comoé |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Comoé |
Serikali[1] | |
- Prefect | Boni Kouassi Albert |
- Rais wa Baraza | Aka Aouélé |
Eneo[2] | |
- Jumla | 7,189 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 642,620 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Uko katika Mashariki ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Aboisso. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 642,620.