From Wikipedia, the free encyclopedia
Samsun ni mkoa uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Idadi ya wakazi wanaoishi mkoani hapa ni 1,209,137 (2000). Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Sinop kwa upande wa kaskazini-magharibi, Çorum kwa upande wa magharibi, Amasya kwa upande wa kusini, Tokat kwa upande wa kusini-mashariki, na Ordu kwa upande wa mashariki. Mji mkuu wake ni Samsun.
Mkoa wa Samsun | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Samsun nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 9,579 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 1,187,536 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 55 |
Kodi ya eneo: | 0{{{kodi_ya_eneo}}} |
Tovuti ya Gavana | http://www.samsun.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/samsun |
Mkoa wa Samsun umegawanyika katika wilaya 18 (mji mkuu umekoozeshwa):
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Samsun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.