![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/60/C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire_-_Moyen-Como%25C3%25A9.svg/langsw-640px-C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire_-_Moyen-Como%25C3%25A9.svg.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Moyen-Comoé
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Moyen-Comoé (kwa Kifaransa: Région du Moyen-Comoé) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011.
Iko katika Mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 394.741. [1]
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Mkoa wa Moyen-Comoé |
|
![]() |
|
Majiranukta: 6°30′N 3°25′W | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Wilaya | 3 |
Mji mkuu | Abengourou |
Eneo | |
- Jumla | 6.900 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 394.741 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Kuna tarafa tatu ambazo ni
Makao makuu yako Abengourou.