Mkoa wa Lagunes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Lagunes (kwa Kifaransa: Région des Lagunes) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011.
Iko katika Kusini ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 3.733.362. [1]
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Mkoa wa Lagunes |
|
Mahali pa Mkoa wa Lagunes katika Cote d'Ivoire | |
Majiranukta: 5°25′N 4°20′W | |
Nchi | Côte d'Ivoire |
---|---|
Wilaya | 7 |
Mji mkuu | Abidjan |
Eneo | |
- Jumla | 12.949 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 3.733.362 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Kuna tarafa saba ambazo ni
- Abidjan,
- Alépé,
- Dabou,
- Grand-Lahou,
- Jacqueville,
- Sikensi,
- Tiassalé,
Makao makuu yako Abidjan.