![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/37/Un-koulikoro_region.png/640px-Un-koulikoro_region.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Koulikoro
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Koulikoro (Kibambara : Kulikoro Dineja) ni mkoa ulioko magharibi mwa Mali . Ni eneo la kilomita za mraba 90,120. Makao makuu yake ni mji wa Koulikoro. Eneo la mji mkuu wa kitaifa Bamako liko ndani ya eneo la mkoa huo lakini linautawala wa pekee si sehemu ya mkoa.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/37/Un-koulikoro_region.png/640px-Un-koulikoro_region.png)