Mkoa wa Diyarbakır
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Diyarbakır ni jin la kutaja mkoa uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 15,355 na jumla ya wakazi 1,494,321. Awali idadi ya wakazi wanaoishi hapa ilikuwa 1,362,708 kwa hesabu ya sensa ya mwaka wa 2000.
Mkoa wa Diyarbakır | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Diyarbakır nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia |
Eneo: | 15,355 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 1,494,321 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 21 |
Kodi ya eneo: | 0412 |
Tovuti ya Gavana | http://www.diyarbakır.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/diyarbakır |
Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Elazığ kwa upande wa kaskazini-magharibi, Malatya na Adıyaman kwa upande wa magharibi, Şanlıurfa kwa upande wa kusini-mashariki, Mardin kwa upande wa kusini, Batman kwa upande wa mashariki, Muş kwa upande wa mashariki, na Bingöl kwa upande wa kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu wake ni Diyarbakır.
Mkoa wa Diyarbakır umegawanyika katika wilaya 14 (mji mkuu umekoozeshwa):
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Diyarbakır kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.