Mkoa wa Bitlis
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bitlis ni mkoa uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Upo kwenye eneo la magharibi mwa Ziwa Van. Idadi kubwa ya wakazi ni kundi la Wakurdi wanaoishi mkoa hapa.[1] Mji mkuu wake ni Bitlis.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Bitlis nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Bitlis | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Bitlis nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 6707 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 413,446 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 13 |
Kodi ya eneo: | 0434 |
Tovuti ya Gavana | http://www.bitlis.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/bitlis |
Funga