![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a3/C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire_-_Bas-Sassandra.svg/langsw-640px-C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire_-_Bas-Sassandra.svg.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Bas-Sassandra
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Bas-Sassandra (kwa Kifaransa: Région du Bas-Sassandra) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kusini-magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.395.233. [2].
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Mkoa wa Bas-Sassandra |
|
![]() |
|
Majiranukta: 5°30′N 6°40′W | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | San-Pédro |
Eneo | |
- Jumla | 26.969 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1.395.233 |
GMT | (UTC+0) |
[1] |
Funga
Kuna tarafa tano ambazo ni
Makao makuu yako San-Pédro.