From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Adana ni jina la mkoa nchini Uturuki, lenye kilomita za mraba zipatazo 14.030. Upo kwenye kanda ya Mediteranea kusini mwa Uturuki. Mikoa iliyokaribiana na mjini hapa ni pamoja na Mersin kwa upande wa magharibi, Hatay kwa upande wa kusini-mashariki, Osmaniye kwa upande wa mashariki, Kahramanmaraş kwa upande wa kaskazini-mashariki, Kayseri kwa upande wa kaskazini, na Niğde kwa upande wa kaskazini-magharibi. Mji wake mkuu ni Adana.
Mkoa wa Adana | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Adana nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Mediteranea |
Eneo: | 14030 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 1,983,188 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 01 |
Kodi ya eneo: | 0322 |
Tovuti ya Gavana | http://www.adana.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/adana |
Adana imegawanyika katika wilaya 13:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Adana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.