Mkataba wa Versailles
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkataba wa Versailles ulikuwa mapatano ya kimataifa ya kumaliza Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia (1914 - 1918) upande wa Ujerumani. Mapatano yote yalifikiwa kati ya mataifa washindi pekee na serikali ya Ujerumani ilipaswa kuikubali mwishowe. Ujerumani ikatia sahihi kwa malalamiko lakini ilitishiwa ya kwamba wanajeshi wa washindi wangeingia Ujerumani.
1. Schleswig Kaskazini kwa Denmark; 2. Posen Prussia Magharibi kwa Poland; 3. Dola-mji Danzig; 4. Eneo la Memel kwa Lithuania; 5. Silesia ya Juu kwa Poland; 6. Eeno la Hulchin kwa Chekoslovakia; 7. Alsasi-Lorrain kwa Ufaransa; 8. Eupen na Malmedy kwa Ubelgiji