Mizengo Kayanza Peter PindaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mizengo Kayanza Peter Pinda (amezaliwa 12 Agosti 1948) ni mwanasiasa nchini Tanzania. Mizengo Pinda alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Edward Lowassa kujiuzulu. Alikuwa mbunge tangu mwaka 2000 hadi 2015 na kuwa Waziri Mkuu wa nchi tangu Februari 2008 hadi 2015 alipostaafu siasa.
Mizengo Kayanza Peter Pinda (amezaliwa 12 Agosti 1948) ni mwanasiasa nchini Tanzania. Mizengo Pinda alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Edward Lowassa kujiuzulu. Alikuwa mbunge tangu mwaka 2000 hadi 2015 na kuwa Waziri Mkuu wa nchi tangu Februari 2008 hadi 2015 alipostaafu siasa.