Mito, Ibaraki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mito (水戸市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Ibaraki nchini Japani[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 265,000 wanaoishi katika mji huu.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Mito | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kantō | ||
Mkoa | Ibaraki | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 264 570 | ||
Tovuti: www.city.mito.lg.jp |
Funga