MisratahFrom Wikipedia, the free encyclopedia Misratah (pia: Misrata au Misurata) ni mji wa Libya, wa tatu kwa wingi wa wakazi (400,000 mwaka 2019). Kati yao thuluthi mbili ni Waturuki kwa asili. Misrata Downtown Square. Unapatikana upande wa magharibi wa nchi. 32°22′39.12″N 15°05′31.26″E
Misratah (pia: Misrata au Misurata) ni mji wa Libya, wa tatu kwa wingi wa wakazi (400,000 mwaka 2019). Kati yao thuluthi mbili ni Waturuki kwa asili. Misrata Downtown Square. Unapatikana upande wa magharibi wa nchi. 32°22′39.12″N 15°05′31.26″E