MferejiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mfereji ni njia ya maji iliyotengenezwa na watu, tofauti na njia asilia za maji kama mito au maziwa. Mfereji mdogo wa umwagiliaji nchini Uswisi Kuna aina mbili za mifereji: mfereji wa kupeleka maji yanapotakiwa, kwa mfano kwa umwagiliaji wa mashamba mfereji wa usafiri kwa boti au meli
Mfereji ni njia ya maji iliyotengenezwa na watu, tofauti na njia asilia za maji kama mito au maziwa. Mfereji mdogo wa umwagiliaji nchini Uswisi Kuna aina mbili za mifereji: mfereji wa kupeleka maji yanapotakiwa, kwa mfano kwa umwagiliaji wa mashamba mfereji wa usafiri kwa boti au meli