![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/31/Shinkansen_500_Kyoto_2005-03-19.jpg/640px-Shinkansen_500_Kyoto_2005-03-19.jpg&w=640&q=50)
Usafiri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Usafiri ni uhamisho wa watu au vitu na bidhaa kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/31/Shinkansen_500_Kyoto_2005-03-19.jpg/640px-Shinkansen_500_Kyoto_2005-03-19.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/28/DarEsSalaam-Skyline.jpg/320px-DarEsSalaam-Skyline.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/bb/Pia.b747-300.ap-bfx.may06.arp.jpg/640px-Pia.b747-300.ap-bfx.may06.arp.jpg)
Usafiri unakuja pamoja na muundombinu kama njia za usafiri, vyombo vya usafiri na wahusika wake kama makampuni, shirika na abiria.