Meru
From Wikipedia, the free encyclopedia
Meru ni jina la kutaja:
- Kaunti ya Meru - nchi ya Wameru ambao ni majirani wa Wakikuyu, Waembu na Wakamba
- Meru, Kenya ni mji katika Kaunti ya Meru
- Mlima Meru nchini Tanzania, jirani na Mlima Kilimanjaro
- Meru (Uhindu) ni mlima katika masimulizi ya kidini ya Uhindu
- Meru (Ufaransa) ni mji mdogo kaskazini-mashariki ya Paris.
- Visiwa vya Meru katika ziwa Nyanza upande wa Uganda
![]() |
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja. |