ukarasa wa maana wa Wikimedia From Wikipedia, the free encyclopedia
Meneja (kutoka neno la Kiingereza "manager") ni mtendaji anayewajibika kusimamia mambo yote kuhusu mapato na matumizi katika kampuni.
Kwa kawaida anakuwa ndiye mratibu wa shughuli zote katika kampuni chini ya uongozi wa juu.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Meneja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.