MaweseFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mawese ni mafuta ya kula yanayotolewa katika matunda ya mti wa mchikichi (Elaeis guineensis). Ni mafuta ya kupikia ya Afrika, hasa penye asili ya mchikichi kutokana na kupatikana kwa wingi katika nchi za kanda ya Guinea. Tunda la mchikichi
Mawese ni mafuta ya kula yanayotolewa katika matunda ya mti wa mchikichi (Elaeis guineensis). Ni mafuta ya kupikia ya Afrika, hasa penye asili ya mchikichi kutokana na kupatikana kwa wingi katika nchi za kanda ya Guinea. Tunda la mchikichi