From Wikipedia, the free encyclopedia
Mathayo Correa (jina kamili kwa Kihispania: Mateo Correa Magallanes; Tepechitlan, Zacatecas, Mexico, 23 Julai 1866 – Durango, Mexico, 6 Februari 1927[1]) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero kwa sababu alikataa kuvunja siri ya kitubio[2].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[3]:
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[4].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.