From Wikipedia, the free encyclopedia
Mark Robert Michael Wahlberg (amezaliwa tar. 5 Juni mwaka 1971 huko mjini Dorchester, Boston, Massachutts) ni mwigizaji wa filamu na mtayarishaji wa vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani.
Alikuwa akifahamika kama Marky Mark katika siku zake za awali, na pia alipata umaarufu sana akiwa kama mwanamuziki wa rap katika bendi yake iitwayo Marky Mark and the Funk Bunch.
Jina la Filamu | Mwaka | Jina Alilotumia | Nakala |
---|---|---|---|
Renaissance Man | 1994 | Pvt. Tommy Lee Haywood | |
The Basketball Diaries | 1995 | Mickey | |
Fear | 1996 | David McCall | |
Traveller | 1997 | Pat O'Hara | |
Boogie Nights | 1997 | Eddie Adams/Dirk Diggler | |
The Big Hit | 1998 | Melvin Smiley | |
The Corruptor | 1999 | Danny Wallace | |
Three Kings | 1999 | SFC Troy Barlow | |
The Yards | 2000 | Leo Handler | |
The Perfect Storm | 2000 | Bobby Shatford | |
Planet of the Apes | 2001 | Capt. Leo Davidson | |
Rock Star | 2001 | Chris 'Izzy' Cole | |
The Truth About Charlie | 2002 | Joshua Peters | |
The Italian Job | 2003 | Charlie Croker | |
I ♥ Huckabees | 2004 | Tommy Corn | |
Four Brothers | 2005 | Bobby Mercer | |
Invincible | 2006 | Vince Papale | |
The Departed | 2006 | Sgt. Sean Dignam | |
Shooter | 2007 | Bob Lee Swagger | |
We Own the Night | 2007 | Joseph Grusinsky | |
The Happening]] | Ijayo - 2008 | Elliot Moore | |
The Brazilian Job | Ijayo - 2009 | Charlie Croker | |
The Fighter | Ijayo - 2009 | Mickey Ward | |
Ted | 2012 | John Bennett |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mark Wahlberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.