From Wikipedia, the free encyclopedia
Mario Haas (alizaliwa 16 Septemba 1974) ni mchezaji wa zamani wa [mpira wa miguu] wa [Austria]. Aliwahi kuchezea [Timu ya Taifa ya Kandanda ya Austria].
Haas ameichezea [Timu ya Taifa ya Kandanda ya Austria] tangu mwaka wa 1996. Haas alicheza Austria katika mechi 43, alifunga mabao 7.[1]
Timu ya Taifa ya Austria | ||
---|---|---|
Mwaka | Mechi | Magoli |
1996 | 1 | 0 |
1997 | 0 | 0 |
1998 | 10 | 2 |
1999 | 4 | 0 |
2000 | 1 | 0 |
2001 | 7 | 0 |
2002 | 0 | 0 |
2003 | 8 | 4 |
2004 | 6 | 1 |
2005 | 3 | 0 |
2006 | 0 | 0 |
2007 | 3 | 0 |
Jumla | 43 | 7 |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.