Mapinduzi ya Urusi ya 1917
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mapinduzi ya Urusi ya 1917 ni namna ya kutaja mfuatano wa mapinduzi mawili katika mwendo wa mwaka 1917 yaliyomaliza ufalme wa miaka 1,000 nchini Urusi na kuanzisha utawala wa ukomunisti kwa miaka 70 iliyofuata.
Mwaka 1917 uliona mapinduzi mawili katika Urusi:
na
- mapinduzi ya Oktoba ambako serikali ya muda ilifukuzwa na utawala wa kikomunisti ulianza.