Utawala
From Wikipedia, the free encyclopedia
Utawala (kutoka neno la Kiarabu) ni mamlaka na haki ya kuongoza. Ni jambo lisiloepukika katika maisha ya pamoja ya binadamu.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/30/Julius_Nyerere_cropped.jpg/220px-Julius_Nyerere_cropped.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0e/Donald_Trump_Pentagon_2017.jpg/640px-Donald_Trump_Pentagon_2017.jpg)
Utawala umejitokeza kwa namna nyingi katika ngazi mbalimbali katika historia ya dunia.
Kwa mfano, utawala unaweza kuwa wa kisiasa juu ya nchi au kabila katika jamii husika.