Mapigano ya Tours na PoitiersFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mapigano ya Tours na Poitiers ilikuwa vita ya mwaka 732 kati ya jeshi la Waarabu Waislamu kutoka Hispania na jeshi la Wafaranki katika Ufaransa ya Kati. Mapigano ya Tours na Poitiers - uchoraji wa karne ya 19
Mapigano ya Tours na Poitiers ilikuwa vita ya mwaka 732 kati ya jeshi la Waarabu Waislamu kutoka Hispania na jeshi la Wafaranki katika Ufaransa ya Kati. Mapigano ya Tours na Poitiers - uchoraji wa karne ya 19