MadrasaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Madrasa (kutoka مدرسة, madrasah, neno la Kiarabu lenye maana ya shule, chuo au chuo kikuu [1]) katika Kiswahili ni mahali panapotolewa mafunzo ya Kurani kwa watoto wa Kiislamu. Mara nyingi yanapatikana karibu na mskiti. Madrasa
Madrasa (kutoka مدرسة, madrasah, neno la Kiarabu lenye maana ya shule, chuo au chuo kikuu [1]) katika Kiswahili ni mahali panapotolewa mafunzo ya Kurani kwa watoto wa Kiislamu. Mara nyingi yanapatikana karibu na mskiti. Madrasa