From Wikipedia, the free encyclopedia
Lisini wa Angers (kwa Kilatini: Licinius; kwa Kifaransa: Lezin, Lésin; 540 hivi - 610 hivi[1]) alikuwa kwanza mwanasiasa na mtawala, halafu mmonaki, na hatimaye askofu wa 14 wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 592 hivi[2], akianzisha monasteri alimozikwa[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.