Linksi (kutoka Kigir. λυνξ na Kilat. lynx) ni jenasi ya paka pori wa Amerika ya Kaskazini, Asia na Ulaya.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Linksi |
Linksi wa Ulaya (Lynx lynx) |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Mammalia (Wanyama wenye viwele)
|
Oda: |
Carnivora (Wanyama mbua)
|
Nusuoda: |
Feliformia (Wanyama kama paka)
|
Familia: |
Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
|
Nusufamilia: |
Felinae (Wanyama wanaofanana na paka)
|
Jenasi: |
Lynx Kerr, 1792 |
|
Ngazi za chini |
Spishi 4:
- L. canadensis Kerr, 1792
- L. lynx (Linnaeus, 1758)
- L. pardinus (Temminck, 1827)
- L. rufus (Schreber, 1777)
|
Misambao ya spishi za linksi:
machungwa - L. lynx
nyekundu - L. pardinus
zambarau - L. canadensis
kijani - L. rufus |
Funga