![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/47/Flag_of_Liechtenstein.svg/langsw-640px-Flag_of_Liechtenstein.svg.png&w=640&q=50)
Liechtenstein
From Wikipedia, the free encyclopedia
Utemi wa Liechtenstein (kwa Kijerumani: Fürstentum Liechtenstein) ni nchi ndogo katika Ulaya ya Kati. Imepakana na Uswisi na Austria. Ni ya sita kati ya nchi huru ndogo zaidi duniani.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: none | |||||
Wimbo wa taifa: Oben am jungen Rhein ("Juu ya Rhine changa") | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | Vaduz 47°08′ N 9°30′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Schaan | ||||
Lugha rasmi | Kijerumani | ||||
Serikali Mtemi wa Liechtenstein Regent Mkuu wa serikali |
Ufalme wa kikatiba (Utemi) Hans-Adam II wa Liechtenstein Alois wa Liechtenstein Daniel Risch | ||||
Uhuru Tarehe |
1806 (Mkataba wa Pressburg) | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
160 km² (ya 215) negligible | ||||
Idadi ya watu - Julai 2013 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
37,132 (ya 215) 33,307 227/km² (ya 57) | ||||
Fedha | Frank ya Uswisi (CHF ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .li | ||||
Kodi ya simu | +{{{calling_code}}}
- |
Funga
Mji mkuu ni Vaduz wanapoishi wakazi 5000.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/7/75/Karte_Gemeinde_Vaduz.png)