From Wikipedia, the free encyclopedia
Lenovo ni kampuni ya China inayotengeneza kompyuta, kompyuta bapa, kompyuta mpakato, na vifaa vingine.
Lenovo ilianzishwa mwaka 1984 huko Beijing, ilipata biashara ya kompyuta ya IBM mwaka 2005 na ilikubali kupata biashara yake ya seva ya Intel mnamo Januari 2014.
Pia Lenovo ina matoleo mbalimbali kama vile Lenovo Yoga 2 Pro n.k
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lenovo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.