Leandro Trossard
Mchezaji mpira wa Ubelgiji / From Wikipedia, the free encyclopedia
Leandro Trossard (alizaliwa 4 Desemba 1994 [1]) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ubelgiji ambaye anacheza kama winga wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Arsenal FC na timu ya taifa ya Ubelgiji.