Kweli kinzani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kweli kinzani (Kiing. paradox) ni sentensi katika elimu ya mantiki ambayo haiwezi kuwa kweli lakini pia haiwezi kuwa uongo. Inajipinga yenyewe. Mafumbo mengi maarufu ya aina hii yapo.